Maktaba ya Picha

Kamati ya Bunge ya Maji na Mazingira imetembelea Mradi wa Kurejesha Ardhi iliyoharibika na Kuongeza Usalama wa Chakula katika Maeneo Kame nchini (LDFS) katika Wilaya ya Nzega, Tabora.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Philip Mpango amefungua Mafunzo ya Uongozi kwa Wakuu wa Wilaya jijini Dodoma Machi 13, 2023
Ofisi ya Makamu wa Rais imewasilisha Taarifa kuhusu muundo na majukumu yake kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria katika Ukumbi wa Ofisi za Bunge jijini Dodoma Machi 13, 2023.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amewasilisha Taarifa kuhusu muundo na majukumu ya Ofisi kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Machi 11, 2023.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Maganga akijumuika na viongozi na watumishi kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Machi 08, 2023 jijini Dodoma.
Settings