Maktaba ya Picha

Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango ameongoza zoezi la usafi katika Soko Kuu la Wamachinga, Dodoma kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani Juni 05, 2023.
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango ameshiriki majadiliano ya Viongozi wa Juu kuhusu kuhusu kuboresha utaratibu wa ufadhili wa miradi ya maendeleo na majukumu ya taasisi za fedha yaliofanyika Sharm El Sheikh Misri Mei 23, 2023.
Makamu wa Rais na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wamtembelea Mjane wa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine Bi. Napono Sokoine katika Kijiji cha Enguiki Wilaya ya Monduli, Arusha tarehe 19 Mei 2023.
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango ameweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Karatu tarehe 16 Mei 2023, Arusha.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amezindua miradi ya Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi kwa Kutumia Mifumo Ikolojia Vijijini (EBARR) katika Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero, Morogoro Mei 03, 2023.
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki Mkutano wa 11 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Mpango wa Amani, Usalama na Ushirikiano kwaajili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Ukanda wa Maziwa Makuu uliofanyika Ikulu ya Bujumbura, Burundi tarehe 06 Mei 2023.
Settings