Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip isdor Mpango amezindua Kituo Kikuu cha Zimamoto na Uokoaji katika Wilaya ya Temeke Mkoa Dar es salaam tarehe 28 Aprili 2023.
Matukio mbalimbali ya Kikao cha Bunge cha kuwasilisha Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa mwaka wa Fedha 2023/24 leo Aprili 24, 2023.
Matukio mbalimbali ya Kikao cha Bunge cha kuwasilisha Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa mwaka wa Fedha 2023/24 leo Aprili 24, 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimpokea Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam Machi 29, 2023 kuanza ziara nchini Tanzania.