Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amekagua miradi ya maendeleo Wilaya ya Buhigwe, Kigoma Machi 23, 2023.
Kamati ya Bunge ya Maji na Mazingira imetembelea Mradi wa Kurejesha Ardhi iliyoharibika na Kuongeza Usalama wa Chakula katika Maeneo Kame nchini (LDFS) katika Wilaya ya Nzega, Tabora.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Philip Mpango amefungua Mafunzo ya Uongozi kwa Wakuu wa Wilaya jijini Dodoma Machi 13, 2023
Ofisi ya Makamu wa Rais imewasilisha Taarifa kuhusu muundo na majukumu yake kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria katika Ukumbi wa Ofisi za Bunge jijini Dodoma Machi 13, 2023.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amewasilisha Taarifa kuhusu muundo na majukumu ya Ofisi kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Machi 11, 2023.