Kitengo cha Fedha na Uhasibu
Kitengo kinaongozwa na Mhasibu Mkuu
Bw. Faraj Kaduma
Lengo
Kutoa huduma za kifedha na kutunza mahesabu kwa ajili ya Ofisi:-
- (i). Ufungaji wa Hesabu za Mwaka (Final Accounts);(ii). Kusimamia maandalizi ya malipo ya mishahara na makato yake;(iii). Kusimamia utunzaji wa rejista ya Masurufu na Karadha;(iv). Kuandaa taarifa za Hesabu za mwisho wa mwaka; (v). Kujibu hoja za ukaguzi wa ndani nan je;(vi). Kuratibu maandalizi ya taarifa za fedha na majibu ya hoja za ukaguzi kwa ajili ya kuwasilisha katika Kamati ya Bunge.