Tanzania yenye Muungano imara, Mazingira safi, salama na endelevu
Dhamira
Kuwa na ufanisi wa hali ya juu katika kuhamasisha na kuimarisha mambo ya Muungano na yasiyo ya Muungano na kuratibu usimamizi wa mazingira kwa ajili ya kuboresha ustawi wa Watanzania.