Maktaba ya Picha

Matukio mbalimbali ya Kikao cha Bunge cha kuwasilisha Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa mwaka wa Fedha 2023/24 leo Aprili 24, 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimpokea Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam Machi 29, 2023 kuanza ziara nchini Tanzania.
Ofisi ya Makamu wa Rais imewasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 na Makadirio ya Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 kwa Kamati ya Bunge ya Maji na Mazingira, Dodoma Machi 24, 2023.
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amekagua miradi ya maendeleo Wilaya ya Buhigwe, Kigoma Machi 23, 2023.
Settings