Tanzania imeikabidhi Burundi uenyekiti Usimamizi Endelevu Ziwa Tanganyika
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango amehutubia Mkutano wa nchi Zisizofungamana na Upande Wowote (Non-Aligned Movement) Baku nchini Azerbaijan Machi 02, 2023.
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango ameongoza Kikao cha Kamati ya Pamoja ya SJMT na SMZ, Dodoma.
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango ametembelea mitambo ya uzalishaji Maji ya Ruvu Chini mkoani Pwani Novemba 09, 2022.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Khamis Hamza Khamis amefanya mazungumzo na Mjumbe kutoka Serikali ya Uingereza Bi. Janet Rogan katika Mkutano wa cop 27 Sharm El-Sheikh, Misri.