Katibu Mkuu Dkt. Richard Muyungi akutana na wadau wa Vyombo vya Moto vitumiavyo Umeme Tanzania Februari 09, 2026, Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu Balozi Baraka Luvanda akiwasili Ofisi ya Makamu wa Rais Dar es Salaam baada ya kuapishwa Ikulu, Februari 09, 2026.
Uapisho wa Balozi Baraka Luvanda kuwa Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam Februari 09, 2026.
Makamu wa Rais ashiriki hafla ya kusimikwa Uongozi wa Kitaifa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania Februari 06, 2026, Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Dkt. Richard Muyungi afanya mazungumzo na wadau wa Mazingira kutoka Kazzi Group, Dodoma Februari 5, 2025.