Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Makamu wa Rais

Maktaba ya Picha

Makamu wa Rais Mhe. Deogratius Ndejembi azungumza na Viongozi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, TAMISEMI, Wizara ya Ujenzi Jijini Dar es Salaam, tarehe 11 Septemba 2026.
Makamu wa Rais Mhe. Deogratius Ndejembi amtembelea Mstaafu Dkt. Ali Mohamed Shein, katika makazi yake Zanzibar Septemba 02, 2026.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi atembelea Ofisi ya Makamu wa Rais iliyopo Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma Agosti 31, 2026.
Mhe. Deogratius John Ndejembi akiapa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika hafla iliyofanyika Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 29 Agosti 2026.
Makamu wa Rais Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ashiriki Kilele cha Tamasha la Kizimkazi
Makamu wa Rais atembelea Maonesho ya Nanenane Dodoma Agosti 03, 2026
Settings