Maktaba ya Picha

Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango amefungua Mashindano ya UMITASHUMTA na UMISSETA Juni 06, 2023 mkoani Tabora.
Wananchi Ilazo wajitokeza kufanya usafi eneo la Dodoma kuadhimisha Wiki ya Mazingira Juni 04, 2023.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. Deogratius Ndejembi amefanya usafi katika Barabara za jijini Dodoma ikiwa ni Wiki ya Mazingira Juni 5, 2023.
1. Naibu Waziri wa Kilimo na Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe. Antony Mavunde ameongoza zoezi la usafi wa mitaro Makole, Dodoma Juni 2, 2023 kuadhimisha Wiki ya Mazingira
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo amefanya usafi wa mazingira katika eneo la Shule ya Sekondari Kiwanja cha Ndege, Dodoma kuzindua Wiki ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani Juni Mosi, 2023.
Settings