Maktaba ya Picha

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na mkewe wakishiriki zoezi la Sensa ya Watu na Makazi katika makazi yao Chanika Wilaya ya Ilala, Dar es salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na Balozi wa Misri nchini Tanzania Mhe. Mohamed Gaber Abulwafa katika Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dar es Salaam Agosti 18, 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki mbio maalum za CRDB Bank Marathon jijini Dar es salaam Agosti 14, 2022.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Switbert Mkama akikagua utekelezaji wa Mradi visima vilivyochimbwa kupitia Mradi wa EBARR Mpwapwa mkoan Dodoma.
Naibu Waziri Khamis Hamza Khamis akizungumza wakati wa makabidhiano ya boti za uvuvi zilizotolewa kupitia Mradi wa EBARR na kukabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
Settings