Maktaba ya Picha

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiweka jiwe la msingi la Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliopo Mikindani Mkoa wa Mtwara Julai 26, 2021
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais katika yaliyofanyika jijini Dodoma Aprili 28, 2021.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu ofisini kwake, kujitambulisha baada ya kuteuliwa.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu katika huhudia zoezi la uteketezaji wa mifuko isiyokidhi wilayani Manyoni, Singida Februari 08, 2020.
Makamu wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiakagua miti iliyopandwa Mzakwe, Dodoma.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akitembelea eneo la ujenzi wa Ofisi za SMZ Dodoma
Settings