Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Makamu wa Rais

Maktaba ya Picha

Makabidhiano ya Ofisi kati ya Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi na aliyekuwa Katibu Mkuu Mhe. Balozi Mhandisi Cyprian Luhemeja, Dodoma, Januari 14, 2025.
Matukio mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipowaapisha Viongozi mbalimbali akiwemo Dkt. Richard Stanslaus Muyungi kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 13 Januari,2026.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein katika makazi yake Unguja, Zanzibar leo tarehe 03 Januari 2026.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amtembelea na kumjulia hali, Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal, katika makazi yake Masaki Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 02 Januari 2026.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameungana na Waumini mbalimbali katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Sherehe ya Noeli (Krismasi), iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Petro, Osterbay Jijini Dar es Salaam. Tarehe 25 Desemba 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais mkoani Dodoma leo tarehe 05 Desemba 2025.
Settings