Kitengo cha TEHAMA
Kitengo kinaongozwa na Mkuu wa Kitengo
Bi. Joyce Mnunguli
Lengo
Kutoa utalaamu katika huduma za matumizi ya TEHAMA katika Ofisi
Majukumu ya Kitengo ni kama ifuatavyo:-
- (i). Kusimamia utekelezaji wa Miongozo mbalimbali inayotolewa na wakala wa Serikali Mtandao (eGA)kwa lengo la kuboresha utendaji;
- (ii). Kutoa msaada wa kiufundi na kitaalamu katika masuala ya TEHAMA;
- (iii). Kusimamia miundombinu ya vifaa vya TEHAMA Wizarani.