Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Makamu wa Rais

Kitengo cha Fedha na Uhasibu

Kitengo kinaongozwa na Mhasibu Mkuu

Bw. Faraj Kaduma

Lengo

Kutoa huduma za kifedha na kutunza mahesabu kwa ajili ya Ofisi:-

  • (i). Ufungaji wa Hesabu za Mwaka (Final Accounts);(ii). Kusimamia maandalizi ya malipo ya mishahara na makato yake;(iii). Kusimamia utunzaji wa rejista ya Masurufu na Karadha;(iv). Kuandaa taarifa za Hesabu za mwisho wa mwaka; (v). Kujibu hoja za ukaguzi wa ndani nan je;(vi). Kuratibu maandalizi ya taarifa za fedha na majibu ya hoja za ukaguzi kwa ajili ya kuwasilisha katika Kamati ya Bunge.

Settings