Kitengo cha Ununuzi na Ugavi
Kitengo kinaongozwa na Mkurugenzi
Bi. Juliana Mkalimoto
Lengo
Kutoa utaalamu katika huduma za Manunuzi, Uhifadhi na Ugavi wa vitu kwa ajili ya matumizi ya Ofisi.
Kitengo kinatekeleza majukumu yafuatayo:-
- (i). Kushughulikia Ununuzi wa ugavi wa vifaa Ofisini.
- (ii). Kusaidia ufanyaji kazi wa Bodi ya Zabuni ya Ofisi.
- (iii). Kuandaa Mpango wa Ununuzi na mahitaji ya ununuzi Ofisini.
- (iv). Kuandaa matangazo ya fursa za Zabuni kwa Umma.
- (v). Kuandaa nyaraka za Mikataba;
- (vi). Kuandaa na kutunza rejista ya Mikataba yote ya Ofisi.