Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Makamu wa Rais

Uchumi wa Buluu

Kitengo kinaongozwa na Mkurugenzi

Ms. Magdalena Ngotolainyo

  • Kitengo hiki kinaongozwa na Mkurugenzi wa Maendeleo na Uratibu wa Uchumi wa Buluu. Pia, Kitengo kina schedule kuu mbili ambazo ni schedule ya Maendeleo ya Uchumi wa Buluu na schedule ya Uratibu wa Shughuli za Uchumi wa buluu.
  • Majukumu Makuu ya Kitengo hiki ni kama ifuatavyo:-
  • i.Kuratibu, kuandaa, kupitia, kufuatilia na kutathmini Sera, Sheria, Kanuni, Miongozo, Programu, Miradi, Mikakati na Mfumo wa Kitaasisi wa Uratibu wa Uchumi wa Buluu;
  • ii.Kuratibu utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Uchumi wa Buluu (2024) na Mkakati wake;
  • iii.Kuandaa na kutekeleza programu za kujenga uwezo wa kitaasisi katika Uchumi wa Buluu;
  • iv.Kukuza ushiriki wa sekta binafsi na ubia ili kuongoza ushiriki wa wananchi na uwekezaji katika Uchumi wa Buluu;
  • v.Kuratibu na kusimamia mikataba ya kimataifa na kikanda kuhusu masuala ya Uchumi wa Buluu;
  • vi.Kukuza utafiti, ubunifu na uhawilishaji wa teknolojia ili kukuza sekta ya Uchumi wa Buluu;
  • vii.Kuandaa na kusimamia mifumo ya kubadilishana taarifa pamoja na kuendeleza ajenda ya Uchumi wa Buluu nchini;
  • viii.Kuandaa mikakati na programu za usimamizi wa Uchumi wa Buluu;
  • ix.Kuandaa taarifa za utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Uchumi wa Buluu (2024) na Mkakati wake;
  • x.Kuratibu utoaji wa elimu na uhamasishaji wa umma kuhusu masuala ya Uchumi wa Buluu kwa jamii; na
  • xi.Kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa shughuli za Uchumi wa Buluu katika Wizara za Kisekta.

Schedule ya Maendeleo ya Uchumi wa Buluu

Majukumu yanayotekelezwa katika schedule hii ni kama ifuatavyo;-

  • i. Kuratibu, kuandaa, kupitia, kufuatilia na kutathmini Sera, Sheria, Kanuni, Miongozo, Programu, Miradi, Mikakati na Mifumo ya Kitaaluma kwa ajili ya maendeleo ya Uchumi wa Buluu;
  • ii. Kuratibu maendeleo ya ajenda ya Uchumi wa Buluu nchini;
  • iii. Kuhamasisha na kutafuta rasilimali fedha kutoka kwa Washirika wa Maendeleo kwa ajili ya utekelezaji wa afua za Uchumi wa Buluu katika sekta mbalimbali;
  • iv. Kuratibu ushirikiano wa kimataifa na mikataba katika nyanja ya Uchumi wa Buluu;
  • v. Kuendeleza tafiti, ubunifu na uhamishaji wa teknolojia ili kuwezesha mageuzi endelevu na mseto wa shughuli za Uchumi wa Buluu;
  • vi. Kuratibu uundaji wa Kanuni na Miongozo ya maendeleo ya Uchumi wa Buluu;
  • vii. Kuandaa taarifa za utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Uchumi wa Buluu na Mkakati wake;
  • viii. Kuandaa na kutekeleza Mpango wa Matumizi ya Maeneo ya Bahari (Marine Spatial Plan).
  • Schedule ya Uratibu wa Uchumi wa BuluuMajukumu yanayotekelezwa katika schedule hii ni pamoja na:-
  • i. Kuandaa na kusimamia mfumo wa kubadilishana taarifa kuhusu shughuli za Uchumi wa Buluu nchini;
  • ii. Kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa shughuli za Uchumi wa Buluu katika Wizara za kisekta;
  • iii. Kuandaa taarifa za utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Uchumi wa Buluu na Mkakati wake;
  • iv. Kuandaa na kufuatilia tathmini ya mahitaji ya mafunzo kwa ajili ya ujenzi wa uwezo katika sekta husika;
  • v. Kuratibu shughuli na programu za Uchumi wa Buluu zinazotekelezwa na Taasisi, Idara na Wakala za Serikali (MDAs), sekta binafsi pamoja na wadau wengine;
  • vi. Kuratibu utoaji wa elimu na uhamasishaji kwa umma kuhusu masuala ya Uchumi wa Buluu na athari zake kwa jamii; na vii. Kuratibu ukusanyaji, uchambuzi na usimamizi wa takwimu zinazohusiana na Uchumi wa Buluu.

Settings