Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango amezindua Tawi la Benki ya NMB Wilaya Buhigwe mkoani Kigoma Julai 04, 2023.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hamza Hassan Juma Jijini Dodoma Julai 4, 2023.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Mary Maganga akutana na Watendaji waandamizi wa Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Faru Graphite Corporation jijini Dodoma Juni 27, 2023.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Mary Maganga amefanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Kenya na Mwakilishi wa Kudumu wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) Dkt. John Simbachawene Juni 28, 2023, Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amehudhuria Maadhimisho ya miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Dodoma Juni 22, 2023.
Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Abdallah Hassan Mitawi amefungua warsha ya wahariri wa vyombo vya habari kuhusu Kanuni na Mwongozo wa Biashara ya Kaboni Dar es Salaam Juni 19, 2023.