Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amehudhuria Maadhimisho ya miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Dodoma Juni 22, 2023.
Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Abdallah Hassan Mitawi amefungua warsha ya wahariri wa vyombo vya habari kuhusu Kanuni na Mwongozo wa Biashara ya Kaboni Dar es Salaam Juni 19, 2023.
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango amezindua Wiki ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya JKT Julai mosi, 2023 jijini Dodoma.
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango amefungua Mashindano ya UMITASHUMTA na UMISSETA Juni 06, 2023 mkoani Tabora.
Wananchi Ilazo wajitokeza kufanya usafi eneo la Dodoma kuadhimisha Wiki ya Mazingira Juni 04, 2023.