Maktaba ya Picha

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amewasilisha Taarifa kuhusu muundo na majukumu ya Ofisi kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Machi 11, 2023.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Maganga akijumuika na viongozi na watumishi kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Machi 08, 2023 jijini Dodoma.
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni Tanzu ya Al Faisal (Al Faisal Holding) Sheikh Faisal Bin Qassim Al Thani katika Mji wa Doha, Qatar Machi 08, 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefanya mazungumzo na Rais wa Slovenia Mheshimiwa Natasa Pirc Musar mjini Doha, Qatar Machi 07, 2023.
Makamu Dkt. Philip Mpango amefanya mazungumzo na Mkurugenzi Msaidizi - Uwezeshaji Sekta Binafsi wa Green Climate Fund Bw. Soji Omisore Doha, Qatar Machi 06, 2023.
Settings