Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango ametembelea mitambo ya uzalishaji Maji ya Ruvu Chini mkoani Pwani Novemba 09, 2022.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Khamis Hamza Khamis amefanya mazungumzo na Mjumbe kutoka Serikali ya Uingereza Bi. Janet Rogan katika Mkutano wa cop 27 Sharm El-Sheikh, Misri.
Serikali imekabidhi hati miliki za kimila 305 kwa wananchi wa Kondoa kupitia Mradi wa LDSF.
Matukio mbalimbali kwenye banda la maonesho la Tanzania katika Mkutano wa COP 27 uliofanyika Novemba 2022 Sharm El-Sheikh, Misri.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amefanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Plan International Dkt. Mona Girgis. Dodoma Oktoba 26, 2022.