Ofisi ya Makamu wa Rais imetoa mafunzo kwa mawakala wa forodha kuhusu udhibiti na usimamizi wa kemikali zinavyomong’onyoa tabaka la ozoni.
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango ameongoza zoezi la upandaji miti miaka 58 ya Mapinduzi Jan 12, 2023 Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mary Maganga amefungua warsha ya Kikanda kuhusu Mpango wa Matumizi ya Eneo la Bahari.
Tanzania imeikabidhi Burundi uenyekiti Usimamizi Endelevu Ziwa Tanganyika
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango amehutubia Mkutano wa nchi Zisizofungamana na Upande Wowote (Non-Aligned Movement) Baku nchini Azerbaijan Machi 02, 2023.
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango ameongoza Kikao cha Kamati ya Pamoja ya SJMT na SMZ, Dodoma.