Ziara kiwanda cha kuzalisha mbolea Mabwepande Kinondoni, Dar es Salaam Februari 23, 2026.
Makamu wa Rais akiwasilisha salamu za rambirambi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha Kardinali Pengo.
Makamu wa Rais akifanya mazugumzo na Balozi wa Qatar nchini Tanzania yaliyofanyika, Ikulu Dar es Salaam, Februari 20, 2026.
Makamu wa Rais akizungumza na Balozi wa India nchini Tanzania Mhe. Bashwadip Dey, Ikulu Dar es Salaam, Februari 20, 2026.
Kongamano la Muungano kwa Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Zanzibar, Februari 19, 2026.
Makamu wa Rais Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki Ibada ya Jumatano ya Majivu Februari 18, 2026 jijini Dodoma