Matukio ya Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo Dar es Salaam, Septemba 01, 2022.
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango amefanya mazungumzo na Balozi wa Singapore nchini Tanzania Mhe. Douglas Foo, Mazungumzo Ikulu Chamwino, Dodoma Agosti 30, 2022.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Khamis Hamza Khamis akipanda katika kijiji cha Bulambuka wilayani Nzega mkoani Tabora wakati wa ziara ya kukagua Mradi wa LDFS Februari 25, 2023
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na mkewe wakishiriki zoezi la Sensa ya Watu na Makazi katika makazi yao Chanika Wilaya ya Ilala, Dar es salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na Balozi wa Misri nchini Tanzania Mhe. Mohamed Gaber Abulwafa katika Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dar es Salaam Agosti 18, 2022.