Naibu Katibu Mkuu Dkt. Switbert Mkama amefungua Warsha ya Kukuza uelewa wa Wataalamu kuhusu Sera ya Taifa ya Mazingira na Usimamizi wa Matumizi Salama ya Bioteknolojia ya kisasa Oktoba 27, 2022, Dodoma.
Kikao cha Kuandaa Mradi wa Kujenga Uwezo wa Utayari wa Nchi Kuhimili Athari za Mabadiliko ya Tabianchi Septemba 29, 2022, Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga ameongoza Kikao cha Mradi wa kujenga uwezo wa kuhimili athari za Mabadiliko ya Tabianchi Septemba 30, 2022, Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway (Maendeleo ya Kimataifa na Nchi za NORDIC) Mhe. Anne Veathe Tvinnereim Septemba 8, 2022, Dodoma.
Kikao cha kuwasilisha Taarifa ya hatua zilizofikiwa katika kuhuisha Sheria ya Hifadhi ya Mazingira, Sura 191 kwa Kamati ya Bunge Septemba 07, 2022.