Maktaba ya Picha

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo amefanya usafi wa mazingira katika eneo la Shule ya Sekondari Kiwanja cha Ndege, Dodoma kuzindua Wiki ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani Juni Mosi, 2023.
Waziri Jafo amekutana na kuzungumza na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka upande wa Zanzibar Aprili 18, 2023 katika ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango ameongoza zoezi la usafi katika Soko Kuu la Wamachinga, Dodoma kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani Juni 05, 2023.
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango ameshiriki majadiliano ya Viongozi wa Juu kuhusu kuhusu kuboresha utaratibu wa ufadhili wa miradi ya maendeleo na majukumu ya taasisi za fedha yaliofanyika Sharm El Sheikh Misri Mei 23, 2023.
Makamu wa Rais na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wamtembelea Mjane wa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine Bi. Napono Sokoine katika Kijiji cha Enguiki Wilaya ya Monduli, Arusha tarehe 19 Mei 2023.
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango ameweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Karatu tarehe 16 Mei 2023, Arusha.
Settings