Naibu Khamis afanya ziara dampo la Buhongwa, Mwanza

Naibu Khamis afanya ziara dampo la Buhongwa, Mwanza

Imewekwa 06th Mar 2023

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Khamis Hamza Khamis amefanya ziara ya kukagua usimamizi wa dampo la Buhongwa jijini Mwanza