Makamu wa Rais akabidhi rasmi magari

Makamu wa Rais akabidhi rasmi magari

Imewekwa 05th Mar 2023

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekabidhi magari na pikipiki jijini Dodoma.