Makamu wa Rais afanya mazungumzo na Rais wa Burundi

Makamu wa Rais afanya mazungumzo na Rais wa Burundi

Imewekwa 07th Mar 2023

Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango afanya mazungumzo na Rais wa Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye.