Dkt. Mpango: Tulinde amani ya nchi yetu

Dkt. Mpango: Tulinde amani ya nchi yetu

Imewekwa 25th Jul 2023

Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango amewaasa watanzania kutumia fursa ya mikutano ya kisiasa kufanya siasa za kistaarabu ili kuendeleza amani na utulivu