Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Vice President's Office

News

​Makamu wa Rais ashauri uwepo wa mfuko wa fidia kwa watakaoathirika mazingira


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango ameshauri uwepo wa mfuko wa fidia kwa wale watakaothirika na masuala ya kuhifadhi na kulinda mazingira.