Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Makamu wa Rais

Makamu wa Rais awasili Vienna Austria - kumwakilisha Rais Samia katika Jukwaa la Kisayansi la Nguvu ya Atomu

Sep, 14 2026

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi ameongoza kikao cha Maandalizi cha Viongozi na Wataalamu mbalimbali wanaoshiriki Jukwaa la Kisayansi la Wakala wa Kimataifa wa Nguvu za Atomu (IAEA Scientific Forum) mara baada ya kuwasili Vienna nchini Austria leo tarehe 14 Septemba 2026.

Makamu wa Rais, anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Jukwaa la Kisayansi la Wakala wa Kimataifa wa Nguvu ya Atomu (IAEA Scientific Forum).

Jukwaa hilo litafanyika tarehe 15 na 16 Septemba 2026 Vienna nchini Austria. Jukwaa hilo linafanyika sambamba na Mkutano Mkuu wa 70 wa Wakala wa Kimataifa wa Nguvu ya Atomu (International Atomic Energy Agency - IAEA).

Habari

Settings