Naibu Waziri Khamis akagua jengo la Ofisi

Naibu Waziri Khamis akagua jengo la Ofisi

Imewekwa 23rd Feb 2023

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma leo Septemba 16, 2022.