ZIARA YA NAIBU WAZIRI WILAYANI CHEMBA

[:en]Mkuu wa Wilaya ya Chemba Simon Odunga akifafanua jambo kwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mussa Sima mara baada ya kufanya ziara ya kukagua athari za ukataji miti katika eneo la Farkwa Wilayani Chemba. Kushoto ni Mbunge wa Chemba Mhe. Juma Nkamia[:]