ZIARA YA MAKAMU WA RAIS HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

[:en]Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia aina mbali mbali za kahawa wakati wa maandalizi ya kujaribiwa kwenye maabara ya shamba ya Kahawa la Kilimanjaro Plantation Ltd.[:]