Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mussa Azzan Zungu Zungu akikagua bidhaa za Sufuria zinazozalishwa na kiwanda cha Ocean Alluminium wakati alipofanya ziara kiwandani hapo. Picha na Charles Kombe. Pembeni yake ni Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Samuel Gwamaka.