Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu na wataalamu kutoka Ofisi hiyo wakipitia mapendekezo ya Sera ya Taifa ya Mazingira ya mwaka 2020.