Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu (mwenye kofia) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Uzalishaji Hinduka Kamalamo wa kiwanda cha kutengeneza mifuko mbadala aina ya ‘non woven’ cha Jin Yuan Investment kilichopo Nyakato wilayani Ilemela mkoani Mwanza wakati wa ziara yake ya kikazi.