Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akizungumza na Bodi ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) jijini Dar es Salaam leo Machi 12, 2020.