Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cook ambapo pamoja na masuala mbalimbali walizungumzia uhusiano baina ya nchi hizo mbili.