Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akiwasilisha taarifa ya Ofisi hiyo kuhusu kuhusu utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyotengewa fedha kwa mwaka wa fedha 2019/2020 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira jijini Dodoma.