Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akiwasili ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma alipofanya ziara ya kikazi kukagua kukagua athari zilizosababishwa na korongo kubwa kando ya Mto Shaban Robert