Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akiwa katika ziara ya kutembelea kiwanda cha sukari cha Mtibwa wilayani Mvomero mkoani Morogoro.