Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akiwa katika ziara ya kikazi eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam kukagua athari za mchanga kufunika maneo ya wazi.