Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akijibu hoja za wabunge waliochangia mjadala wa hotuba ya Ofisi hiyo kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2020/2021 aliyoiwasilisha Aprili 16, 2020 Bungeni jijini Dodoma.