Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akiangalia namna mabaki ha kemikali ya zebaki yanavyotiririka katika maeneo ya machimbo ya wachimbaji wadogo ya Sirori Simba wilayani Butiaam mkoani Mara alipofanya ziara.