Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Taasisi ya Carbon Tanzania Bw. Mark Barker aliyemtembelea ofisini kwake jijini Dodoma.