Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene akiwasiliza watumishi wa Ofisi hiyo Zanzibar alipofika kuwasalimia wakati wa ziara yake.