Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu akiongea na Wananchi wa kijiji cha Kwamgogo mara baada ya kumaliza ziara ya kutembelea kijiji hiko kilichoathiriwa na mabadiliko ya tabianchi.